Hivi Ndivyo Wolper Alivyofunga Mwaka,Na Kuwachanganya Wengi

 
 MREMBO na  mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa  namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri  ya mwaka mpya mashabiki wake. Picha hizi ambao alizitupia moja moja tangu jana zimeleta gumzo kubwa miongoni mwamashabiki wale ‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi hasa vidume wameoneka kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi  wao wamejikuta wakiachia "comment" za kumsifia hadi kupitiliza.

 Kama kawaida wapo wachache walioziponda kuwa hazina maadili kwani ameoshesha sehemu kubwa ya mwili wake (mapaja), lakini wengi wamezi-LIKE na kuachia comments zakutosha za kusifia uumbaji

…..  Mmmmh
Hivi Ndivyo Wolper Alivyofunga Mwaka,Na Kuwachanganya Wengi Hivi Ndivyo Wolper Alivyofunga Mwaka,Na Kuwachanganya Wengi Reviewed by habari motto on 4:22 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.