Mwigizaji
wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni
moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya
kinywaji cha Coca-cola.

Jana
mchana wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na
kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.
Jina La Kajala Naye Kuonekana Kwenye Makopo Mapya Soda Za Coke
Reviewed by habari motto
on
11:06 AM
Rating: