MADAME Wema Sepetu yupo katika harakati za kumtengeneza nyota wa muziki baada ya kubwagana na icon kutoka Bongo Nassib Abdul aka Diamond Plutnatm, hivi sasa Wema akiwa na kundi lake toka mwaka jana anaandaa show katika kumbi mbalimbali ili kuziba pengo liloachwa na King wa muziki wa kizazi Bongofleva.
Wema akiwa sambamba na mpambe wake Aunty Ezekiel walikuwepo Dodoma na Morogoro kwa ajili ya show hizo ambazo zilikuwa zikitumbuizwa na Mirror Ali Luna na wasanii wengine Mirror yupo chini ya usimamizi wa Wema kupitia kampuni ya EndlessFame.
Akiongea na FC mpenzi mmoja wa Wema kutoka Mji mkuu wa Bongo Dodoma amesema kuwa anaona wazi kabisa kuwa Wema amekosa shangwe ambazo alikuwa akizipata kutokana na shamrashamra za burudani anapokuwa na Diamond katika matamasha mbalimbali.
“Mimi ni funs wa Madame Wema leo nilipokuja katika show hii nimebaini kuwa nyota wangu kuna vitu anamiss kutoka kwa mchizi, unajua Madame kashajizoesha hoya hoya, na anataka zifanywe na mtu wake, sasa hayupo labda ndio awatengeneze akina Mirror,”alisema shabiki huyo wa Wema alijitambulisha kwa jina la Juma Mdingo.

![]() |
Wema akisakata rhumba ukumbini |
![]() |
Vijana wa Wema wakiwa kazini mwenye fulana nyeusi ni Mirror mbele yke ni msanii Ally Luna |
Msanii Wema Kumtengeneza Diamond Wake,Na Hizi Ndizo Sifa Zake
Reviewed by habari motto
on
8:24 AM
Rating:
![Msanii Wema Kumtengeneza Diamond Wake,Na Hizi Ndizo Sifa Zake](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiT3v5HDe-iRuUt-2xLpNjosXen_8WEP8vg34wWTn5E73ouzFj7ubCkaEw8AaPzXbgA57xqUDncmfAkitxHGfNb99AGyrFhohf58HSI_HBXcr_rj7uaYR481fwsxcDOe1i_yfEiMZ9fMJ3L/s72-c/madame-532.png)