Ali Kiba kujitole kuchangi damu kusaidia Watanzania wenye uhitaji kisha kuachilia single yake mpya leo

Ni mara chache kumsikia msanii w au mtu mashuhuri akijitole kuchangia damu haswa hadharani kwa kujitangaza. Wengi wamekuwa na mitazamo kuwa labda waogo wa kupimwa na kufahamika hali yao ya kiafya na wengine basi tu kuona haina umuhimu au haina ya kujali.

Ila msanii wa miondoko ya Bongo Fleva Ali Kiba leo kabla ya kuachilia ngoma yake amesema atajitole kuchangia damu kisha ndipo akaiachilie ngoma yake hiyo rasmini akianza na Clouds FM.

Kupitia Instagram ameandika haya "Big day kesho! Najitolea kuchangia damu kusaidia waTanzania wenzangu ambao wanamahitaji makubwa ya damu - baada ya hapo nitarejea kwenye XXL kuachia single yangu mpya ya #ChekechaCheketua on XXL ya @cloudsfmtz na @bdozen @thebestfetty na @adamchomvu #miminaXXLDAMUDAMU #KINGKIBA" usiku wa kuamkia leo.

Upotayari kuchangia damu kwa watanzania? Basi jitokeze kufanya hivyo na wewe pia.
Ali Kiba kujitole kuchangi damu kusaidia Watanzania wenye uhitaji kisha kuachilia single yake mpya leo Ali Kiba kujitole kuchangi damu kusaidia Watanzania wenye uhitaji kisha kuachilia single yake mpya leo Reviewed by habari motto on 10:59 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.