Anaswa Na Mwanamke, Atembezwa Uchi Mtaani

AIBU! Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia, Amani limenyetishiwa.


Joseph akipewa kichapo na wananchi.

Kwa mujibu wa mashuhuda, aibu hiyoilimkuta Joseph, Februari 14, mwaka huu (Siku ya Wapendanao Duniani) kwenye Kitongoji cha Nyihongo wilayani Kahama, Shinyanga wakati wadau mbalimbali walikuwa kila mtu na wake.

Mashuhuda waliliambia Amani kwamba, Joseph ni fundi ujenzi na siku ya tukio alinaswa kwenye nyumba inayojengwa na yeye lakini ikiwa bado kumalizika.“Jamaa mwenye mke alishajua kuwa Jose anamlia mali zake lakini akavumilia sana. Hakutaka kumuuliza Jose wala mke wake, yeye alitaka amfumanie laivu mwenyewe,” alisema shuhuda.


Mke wa aliyefumaniwa.“Alisema amelazimika kuondoka kwa Jose kwa sababu kitendo alichokifanya kimemtia aibu kubwa. 
Insurance    

Kwamba haiwezekani yeye atulie nyumbani Siku ya Wapendanao halafu mumewe akachepuke mitaani na mwanamke mwingine,” kilisema chanzo.

KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE WAKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>

Anaswa Na Mwanamke, Atembezwa Uchi Mtaani Anaswa Na Mwanamke, Atembezwa Uchi Mtaani Reviewed by habari motto on 11:47 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.