Ishuhuudie Gari Aliyokuwa Akiitumia Bob Marley 1976 Baada Ya Kufufuliwa Upya

Hivi ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.

Mwonekano wa ndani\Land Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka 70 Februari 7 mwaka huu.
Mwanekano mpya wa gari hiyoInsurance   
Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.

Mwonekano wa Ndani
KUTAZAMA PICHA na VIDEO ZAIDI BONYEZA HAPA CHIN>>>>

Ishuhuudie Gari Aliyokuwa Akiitumia Bob Marley 1976 Baada Ya Kufufuliwa Upya Ishuhuudie Gari Aliyokuwa Akiitumia Bob Marley 1976 Baada Ya Kufufuliwa Upya Reviewed by habari motto on 2:45 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.