Mwanamke amkata mpwa wake sehemu zake za siri Ruvuma…

knife-bloodMtu mmoja wa Kijiji cha Majimaji Ruvuma, Patrick Vitus amekatwa sehemu zake za siri  na kuachwa zikining’inia.
Ofisa Mtendaji Wa Kijiji hicho Hussein Mkali amesema Partick alikatwa sehemu zake za siri na mpwa wake Zainabu Saidi baada ya kumkatalia kwenda kumfuata mume wake anayeitwa Musa Said ambaye alikuwa kwa mke mdogo.
Baada ya kufanya tukio hilo Ofisi ya Kijiji ilimkamata Zainabu na kumpeleka katika kituo cha Polisi, huku Patrick akipelekwa Hospitali ya Tunduru kwa ajili ya matibabu.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania, Feb 21 2015Insurance
Mwanamke amkata mpwa wake sehemu zake za siri Ruvuma… Mwanamke amkata mpwa wake sehemu zake za siri Ruvuma… Reviewed by habari motto on 7:15 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.