Rose Ndauk Ajibebea Sifa Kemkem


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe.
Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini mpaka sasa hajatokea kama yeye.
Rose Ndauka.
“Unajua mambo yanapotokea lazima kukubaliana nayo na huwezi kulazimisha. Tangu uhusiano wetu usambaratike, hajatokea kama Rose,” alisema Malick.
Imelda Mtema/Ijumaa
Rose Ndauk Ajibebea Sifa Kemkem Rose Ndauk Ajibebea Sifa Kemkem Reviewed by habari motto on 9:58 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.