Ulinzi Mkali Kumshangaa Joti Akiendesha Baiskeli

Katika pitapita zangu za kusaka mambo kadha wa kadhaa ,nilipita katika barabara ya Morogoro rodi na kukuta umati wa watu ukiwa umeweka pozi kabisa,ukishangaa namna msanii wa vishekesho hapa nchini akiendesha baiskeli wakati akiwa kwenye zoezi la kurekodi tangazo.huku ulinzi ukiwa mkali toka kwa afande aonekanae pichani hapo.pata picha huu ni mchana wa jua kali na mambo ndio kama hivi.
VIDEO HAPPA
Ulinzi Mkali Kumshangaa Joti Akiendesha Baiskeli Ulinzi Mkali Kumshangaa Joti Akiendesha  Baiskeli Reviewed by habari motto on 4:23 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.