
Hii ni kwa mujibu wa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na aliyekuwa na Insurance ya moyo wa msanii Diamond Platnuimz.
Picha hiyo haipotena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake na ku (Claim) kuelezea jinsi alivyosikitishwa na kauli ya wema kwenye picha hiyo isemayo Mimba is 'My Foot'
Kwa mujibu wa Urbandictionary msemo wa 'my foot' humaanisha; An exclamation that means that one believes the previous speaker's statement to be untrue
Mrembo huyo wa Uganda anayetarajia kumzalia Diamond mtoto wake wa kwanza,aliipost picha hiyo na kuifuta tena baadaye na kuandika;"Astagafuhulah!Some time we have ton wish people good,this is too much jamani hmmmm."
Zari Asikitishwa Na Kejeli Toka Kwa Wema
Reviewed by habari motto
on
6:48 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
6:48 PM
Rating: