Askofu Kadinali Pengo Ataka Waumini Waelimishwe zaidi

Askofu Kadinali Pengo amesema anawataka Viongozi wa Dini wawaelimishe waumini juu ya mazuri na mabaya ya Katiba Inayopendekezwa kisha wawaache wafanye maamuzi wao weneywe, badala ya kuwaamulia na kuwaambia/kuwalazimisha kupiga kura ya hapana.


Askofu Kadinali Pengo Ataka Waumini Waelimishwe zaidi Askofu Kadinali Pengo Ataka Waumini Waelimishwe zaidi Reviewed by habari motto on 6:44 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.