Khadija Koppa Ndani Ya Majonzi Mazitto


 Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba.

 Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye msiba wa kiongozi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba.

 Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba.

Khadija Koppa Ndani Ya Majonzi Mazitto Khadija Koppa Ndani Ya Majonzi Mazitto Reviewed by habari motto on 8:01 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.