Kifo Cha Kapitain Komba Nusura Kupoteza Uhai Watatu


Watu zaidi ya watatu wamenusurika kifo baada ya gari yao kupata ajali eneo la Lutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe -Songea wakielekea kumzika mbunge wa Mbinga Magharibi Kepten John Komba.


Ajali hiyo ilitokea Majira ya saa 7 usiku lakini katika tukio hilo hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya gari kujeruhiwa likiwa na abria watatu, wawili kati yao ni wanawake na mwanaume 
Kifo Cha Kapitain Komba Nusura Kupoteza Uhai Watatu Kifo Cha Kapitain Komba Nusura Kupoteza Uhai Watatu Reviewed by habari motto on 1:53 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.