Kutoka Kwa Juma Nature Kuhusu Kugombea siasa

natureBaadhi ya wasanii wameonekana kuhamia kwenye siasa kama Mr TwoProf. JayAfande Sele na wengine msanii Juma Nature amesema alikuwa amepanga kufanya hivyo na watu walimfata ila mwaka huu ameona asigombee, kama angegombea Ubunge Temeke angepita ila kwa sasa amewaachia wasanii wenzake, ikitokea akawa Mbunge jambo la kwanza kufanya kwa wanachi wake ni barabara ya Mbagala, Hospitali pamoja na Soko na ataingia chama chochote atakachoona kinamsingi mzuri.
Kutoka Kwa Juma Nature Kuhusu Kugombea siasa Kutoka Kwa Juma Nature Kuhusu Kugombea siasa Reviewed by habari motto on 5:17 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.