Nguo Fupi Yamdhalilisha Mrembo , Wamshambulia Wakitaka Kumvua


Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni... Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri. Kwa bahati nzuri alitokea boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.
Nguo Fupi Yamdhalilisha Mrembo , Wamshambulia Wakitaka Kumvua Nguo Fupi Yamdhalilisha Mrembo , Wamshambulia Wakitaka Kumvua Reviewed by habari motto on 4:31 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.