Ni mfanyabiashara za promotion jijini Dar es salaam akiwa katika mizunguko yake ya kujitafutia riziki akitokea Temeke kwenda Posta apatwa na ajali mbaya maeneo ya bandarini na kufariki dunia papo hapo kwa sasa jina lake halijafahamika na mwili wa marehemu umepelekwa kuhidhiwa katika hospital ya taifa ya Muhimbili.
Ajali Mbaya Jijini Dar es salaam. 1 Apoteza Maisha.
Reviewed by habari motto
on
8:06 AM
Rating:
![Ajali Mbaya Jijini Dar es salaam. 1 Apoteza Maisha.](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLNop0RkaJ9VtpmIpmzmmw0BiAvLlOUR7VKLLEqI0hYZ_RUcYCTNrWYBsjWs2hjgfn9cS-LR7gM4H4sZqMuY6_SPsX3E7SN8dtJ3RnL2EPObSSKk0nPIqg546E19XxDIkDpeLMypKlHeG9/s72-c/IMG-20150409-WA0046.jpg)