
BABY mama huyu wa Diamond Platnumz a.k.a Dangote a.ka Msafi wa Wasafi Classic Baby bwana mkubwa Nasib Abdul ameudhihirishia umma wa wanaAfrika Mashariki kuwa unaweza kuwa mjamzito na bado ukaonekana Sexy. Hayo yametambulika bayana baada ya picha hizi kutawala mitandao mbalimbali ya kijamii huku wengi wakimsifia kwa jinsi anavyojiweka katika kipindi hiki ambacho anatarajia miezi kadhaa ijayo kumleta dunia Diamond jr. Haya jionee mwenyewe kama kweli D ataruka hapa kama alivyozoeaga kurukaruka


.

BABY Mama Wa Diamond Platnumz Zarii The BOSSLADY
Reviewed by habari motto
on
8:18 PM
Rating:
