Hatimaye Mwigizaji SHAMSA FORD Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake


Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vyombo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”

Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto

Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na kusisitiza Nay ni binamu  yake.
Hatimaye Mwigizaji SHAMSA FORD Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake Hatimaye Mwigizaji SHAMSA FORD Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake Reviewed by habari motto on 8:30 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.