Siwema Ajipooza na Ndinga Mpya

 Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford , Siwema Ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.....
Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika yafuatayo:

wemalicious:
 Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwakufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!

Siwema Ajipooza na Ndinga Mpya Siwema Ajipooza na Ndinga Mpya Reviewed by habari motto on 9:26 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.