Basi LA Super Feo linalofanya
s Basi la Super Feo linalofanya safari Mbeya afari zake kati ya Mbeya na Songea
latumbukia mtoni Leo asubuhi.
Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya
kwenda Songea limetumbukia mtoni
baada ya kuovertake na kukutana na lori
mbele yake kisha kutumbukia mtoni
karibu na eneo la Pipeline Inyala.
Taarifa zaidi zitafuata kadri tutavyoweza
kuzipokea.
Chanzo: jamiiforums
Basi La Super Feo Lapata Ajali
Reviewed by habari motto
on
11:24 AM
Rating:
