Mabomu Yarindima Njombe

Hali ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge. Mapema Leo Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo. 

Mabomu Yarindima Njombe Mabomu Yarindima Njombe Reviewed by habari motto on 4:48 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.