Floyd Mayweather amemaliza
ubishi kwa kumtwanga Manny
Pacquiao katika pambano lao
lililokuwa likisubiriwa kwa hamu
kubwa.
Katika pambano ambalo Pacquiao
alikuwa akishangiliwa sana, ngumi
zake nyingi zilionekana kuwavutia
mashabiki, lakini si zilizompa pointi
kujenga ushindi.
Mayweather alikuwa makini zaidi
na kuweza kupiga ngumi nyingi
zenye pointi.
Majaji wote watatu walimpa
Mayweather ushindi wa
118-110, 116-112, 116-112.
Mayweather Amchakaza Pacquiao
Reviewed by habari motto
on
12:43 PM
Rating:
