Taarifa toka Igunga Tabora kwa askari uslama barabarani amethibitisha kutokea kwa ajali ya Basi la kampuni ya Mtei ikihusisha na gari jingine. Kuna majeruhi kadhaa,akiwemo dereva wa bus hilo akiwa amevunjika miguu yote. Ajali hii imetokea eneo la Nasa ni kati ya Igunga na Nzega. Taarifa zaidi tutazipata baadae
Ajali Mbaya Yatokea
Reviewed by habari motto
on
2:48 PM
Rating:
