Diamond Azidi Kuwa Tishio Afrika, Shuhudia Kazi Yake Mpya Hapa

Kwa wale wote wanaotetemeka juu ya Dangote kutoa kitu kipya calm down all of you, mtapasuka mwisho wa siku hahahaha, msijali hatoi nyimbo yake mpya kipindi hiki japokuwa kwenye calendar yetu mwezi wa tisa mpaka wa kumi tutachagua mzigo mmojawapo tutoe...
Lakini kuna projects ambazo Chibu Dangote ameshirikishwa za ndani na nje jumla (3) zote zitatoka ndani ya wiki hizi mbili, huku tukiwa tunaendelea na awards season ambapo Diamond Platnumz amepata nominations 5 so far ikiwemo 3-mtvmama (South Africa, huku Diamond, Davido, na Wizkid wakiwa wanaongoza kwa nominations nyingi zaidi),
1-NEA(itayofanyika Marekani)
1- African Achievers (itayofanyika South Africa)
akianza rasmi kukinukisha Nigeria tar 3 Jully show ya road to mama, na tar 18 Jully siku ya tuzo za MTV ambapo watatumbuiza kwa pamoja na Ne-Yo pale Kwa Zulu Natal, South Africa...
Projects zinazotarajiwa kutoka ndani ya wiki hizi mbili ni;
⏩ Donald Indenial ft. Diamond Platnumz (audio na video) ambapo vyote vimefanyika South Afrika
⏩ KCEE ft. Diamond Platnumz love boat (video ambapo audio ilishatoka tayari)
⏩ Nay wa mitego ft. Diamond Platnumz mapenzi au pesa (video- imefanywa kwa pamoja Hanscana & Khalfan, ambapo picha yake ndio amepost jana Diamond kwenye Instagram page yake)
Diamond Azidi Kuwa Tishio Afrika, Shuhudia Kazi Yake Mpya Hapa Diamond Azidi Kuwa Tishio Afrika, Shuhudia Kazi Yake Mpya Hapa Reviewed by habari motto on 11:44 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.