Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

 
Amesema, “Mimi sitaki kutafuna maneno. Kamukara amekufa wakati akifuatilia habari moja kubwa. Katika siku za hivi karibuni, alikataa mamilioni ya pesa ambayo aliahidiwa kama angeacha kuchunguza kuandika habari hiyo, lakini yeye alikataa kupokea pesa hizo na akaandika habari na kuitoa.”

Chanzo: Mwanahalisi online

Swali ni je ni habari ipi hiyo iliyokuwa inafatiliwa na kamukara?na wakina nani wapo nyuma ya kifo hiki chenye utata?

Mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda Bukoba mkoani Kagera,bwana ametoa na bwana ametwa jina lake lihimidiwe..

Rest in peace comrade Kamukara.

Na Kitengele blog
Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana Reviewed by habari motto on 9:17 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.