Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu yote na Wema Sepetu kaizungumzia hapa

Linah 3Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.
Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.
GARI MPYAA... KWA BEI POA SANAA, NI RAHISI  SANA  KUIPATA>>>>  
Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu yote na Wema Sepetu kaizungumzia hapa Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu yote na Wema Sepetu kaizungumzia hapa Reviewed by habari motto on 8:16 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.