Mkongwe Wa Hollywood Dolph Lundgred Afanya Madudu

Dolph Lundgred amemkojolea star mwenzie Methew Pritelard baada ya kulewa pombe iliyochanganywa na madawa.Kilevi kikamfanya aweuke nakukojoa hovyo kwenye ndege hiyo binafsi.Hata hivyo kwenye ukurasa wake wa twitter ameomba masamaha kwa msanii mwenzake na mashabiki kwa kle alichokifanya
.
Mkongwe Wa Hollywood Dolph Lundgred Afanya Madudu Mkongwe Wa Hollywood Dolph Lundgred Afanya Madudu Reviewed by habari motto on 9:42 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.