2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?
Tetesi
zikamfikia Soudy Brown kwamba jamaa nae kaamua kuingia kwenye mchakato
huo kimyakimya… Soudy akamcheki jamaa, majibu yake ni kwamba hajatangaza
na wala hana mpango huo, kwa sasa ni yeye na shughuli yake ya usanii wa
kuchekesha.
BOFYA HAPA UONE VIDEO YA KIKUBWA CHUMBANI =>
Mpoki Ajibu Kuhusu, Kutangaza Nia Ya Mbunge
Reviewed by habari motto
on
8:45 AM
Rating: