![]() |
Wananchi katika kata ya King'ori wakimpokea Mbunge Nassari wakati alipowasili katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji zoezi la uandikishaji . |
![]() |
Kada wa Chadema ,Samwel Nnko akizunumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya King'ori . |
![]() |
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ,akiwa na mtoto aliyevalia fulana iliyoandikwa Dogo Janja jina ambalo Nassari alipewa mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi uliompatia Ubunge, |
![]() |
Mbunge Nassari akiwahutubia wananchi katika kata ya King'ori jimbo la Arumeru Mashariki akihamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wa kata ya Ng'arenanyuki waliofika katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji juu ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura . |
![]() |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Ngarenanyuki waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Nasari Atumia Chopa Kuhakikisha Wananchi Wanajiandikisha Daftari La Wapiga Kura
Reviewed by habari motto
on
2:44 PM
Rating:
![Nasari Atumia Chopa Kuhakikisha Wananchi Wanajiandikisha Daftari La Wapiga Kura](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgJ-MEHCH5MT1YNjukO8XJqkJQvaRM-g6O_QVPHXZXvZe4CtgI1B0Mx9WKxa0aXpQT8P56xyG62FEOV3ZS8UE5_V8o9Z1ItBbdCEkZ_hlI6o1YYuQMcVo0Ly9MmoIDdMmreyRcbipVKeX39/s72-c/E86A0873+%25281280x853%2529.jpg)