Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa kuwa wameonyesha kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.
Alisema sauti hiyo inayomuigiza alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia kwamba watu wengi wanakubali awe bungeni.
“Nafurahi kwa kuwa wengi wameshanipeleka bungeni wakati mimi ndiyo kwanza nipo katika harakati za kuomba kuchaguliwa kupitia umoja wa wanawake Singida , lakini nafurahia kwa kuwa inaonyesha wengi wananikubali, ila nikipitishwa kuwawakilisha wana Singida bungeni sitaongea kama walivyonirekodi katika sauti hiyo,” alisema Wema kwa furaha.
Insurance Loans Mortgage
KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE
AKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>
WEMA SEPETU AELEZA NAMNA ATAKAVYOKUWA AKITOA HOJA BUNGENI AKISHAKUWA MBUNGE
Reviewed by habari motto
on
10:32 AM
Rating: