Mbunge amekimbizwa ktk Hosptal ya Selian na kwa mujibu wa Katibu wa mbunge hajaumia sana ila abiria wawili mmoja anajulikana kwa jina la Eve ambaye ni mmoja wa viongozi wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na mwingine kavunjika mguu.
Tupo jimboni na tunawatoa hofu wananchi wote waliopata taaruki jimboni kuwa Mbunge ni mzima amepatwa na majeraha kidogo!
Mbunge Joshua Nassari(CHADEMA) amepata ajali baada ya Helikopta aliyokuwa akiitumia kukumbwa na dhoruba
- Yeye ni mzima lakini aliokuwa nao wamejeruhiwa kiasi

Mbuge Joshua Nasari Anusurika Kifo Ajali Ya Helikopta
Reviewed by habari motto
on
7:32 AM
Rating: