MBUNGE MTARAJIWA WEMA SEPETU ASHTAKIWA KWA KOVA...DIAMOND NAYE ATAJWA!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum huku akirekodiwa ili kuweka kumbukumbu vizuri, Mai alisema yeye ni mmoja wa wahanga wa matusi ya mtandaoni na amegundua wanaomtukana ni kundi linalojiita Team Wema. 
KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao.
Msikie Mai


“Kuna watu kwenye hii mitandao ya kijamii wamejipa majina bandia lakini ukiwafuatilia sana utagundua ni watu wa Wema, ni watu ambao ukimtibua Wema watakuvaa kwa kukutukana sana.
“Hao hao ndiyo wanaoongoza kwa kumsifia sana Wema kwenye mitandao. Ili ujue kwamba Wema anawajua, huwa wanampelekea hadi zawadi na juzijuzi hapa walihamasishana kuchanga fedha ili wampelekee Wema. 
MBUNGE MTARAJIWA WEMA SEPETU ASHTAKIWA KWA KOVA...DIAMOND NAYE ATAJWA! MBUNGE MTARAJIWA WEMA SEPETU ASHTAKIWA KWA KOVA...DIAMOND NAYE ATAJWA! Reviewed by habari motto on 9:34 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.