Sikuu ya Iddi wikiend iliyopita haikwenda vizuri kwa mtayarishaji Mr T touch.…Soudy Brown kaamua kupiga nae stori kujua sababu ya ugomvi kati yake na mmiliki wa studio ya Free Nation, Nay wa Mitego baada ya vifaa vya studio kuchukuliwa.
T touch amesema mwenyewe ana vifaa vyake na sio kweli bali ni uzushi.
Nay mwenyewe amesema kutozwa ela ya kurekodi ni jambo la kawaida hata kama amenunua vifaa vya studio..hayo ni maamuzi yake.
Wasikilize hapa wakiongea na Soudy Brown..
Nay wa Mitego kanyang’anya vifaa vya studio?
Reviewed by habari motto
on
4:06 PM
Rating: