Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda . Nimekuwekea hapa picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu.

Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu
Lowassa Jr. Aungana Na Baba Yake
Reviewed by habari motto
on
6:34 AM
Rating:
