Lulu Amechumbiwa? Picha Hii Yazusha Maswali Mengi

Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.

Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wake

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:

Aubrey_bittoria. Is she engaged?

Ms_gikaro. Engagés or?

Richi_manyota. Ww lulu unatuuwa bhna

Lulu Amechumbiwa? Picha Hii Yazusha Maswali Mengi Lulu Amechumbiwa? Picha Hii Yazusha Maswali Mengi Reviewed by habari motto on 11:01 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.