Mgombea urais Chadema Mh.Lowassa atembelea vituo vya daladala kujionea adha ya usafiri.

Mgombea urais wa chadema kupitia (UKAWA) Mh.Edward Lowassa ametembelea baadhi ya vituo vya mabasi yanayotoa huduma katika jiji la Dar es Salam na vyenye kero kubwa kikiwemo cha gongo la mboto kwa lengo la kujionea adha ya usafiri wanayopata wananchi ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuondoa kero hiyo kama wananchi wakimchagua kuwa rais wa awamu ya Tano.

Mgombea urais Chadema Mh.Lowassa atembelea vituo vya daladala kujionea adha ya usafiri. Mgombea urais Chadema Mh.Lowassa atembelea vituo vya daladala kujionea adha ya usafiri. Reviewed by habari motto on 7:58 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.