Mwanamuziki mkongwe wa muziki asiyezeeka na ladha za Bongo Fleva ambaye amekuwa akifanya vizuri kila kukicha Prince Dully Sykes, amekuletea wimbo wake mpya kabisa alioimba na wadogo zake kutoka mkubwa na wanawe Yamoto Band wanakwambia tuachie.
sikiliza na download hapa