
Rais Dkt. John Magufuli, akikagua gwaride maalum nje ya Viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana, wakati alipofika Bungeni hapo kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Mhe Magufuli jana alilihutubia Taifa wakati akifungua rasmi Bunge hilo la 11, ambapo wapinzani waliamua kufanya vurugu kwa kuanza kupiga kelele na kuzomea, hadi walipoamuliwa na Spika wa bunge hilo kutoka nje ya ukumbi huo.
Rais Dr John Magufuli akikagua gwaride maalum nje ya Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Reviewed by habari motto
on
8:34 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
8:34 AM
Rating: