Dk. Fadhili Emily.Mwandishi wetu
KASI ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inatikisa kila kona. Baada ya mtabibu Dk. Juma Mwaka ‘JJ Mwaka’ kuibukiwa hospitalini kwake na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Hamis Kigwangalla wiki iliyopita na kuagizwa uchunguzi wa uhalali wa huduma zake, hali imekuwa tete kwa mtatibu mwingine, Dk. Fadhili Emily anayemiki kliniki ijulikanayo kama The Fadhaget Sanitarium iliyopo Afrikana Mbezi Beach jijini Dar.

TRA WATIKISA UTAJIRI WA DK FADHILIMENGI YAIBUKA,SIRI NZITO YATANDA
Reviewed by habari motto
on
6:23 AM
Rating: