Mahakamani Kwa Kesi Mpya Tena, Huu Ni Msimamo Wa David Kafulila

Taarifa ninayokusogezea ni ya David Kafulila aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, tunafahamu ana kesi Mahakamani ya kupinga matokeo ya ubunge 2015 jimbo la Kigoma Kusini kesi ipo Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, taarifa ikufikie kuwa Kafulila baada ya kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma akasomewa kesi mpya ambayo anakiri hakuwa anaifahamu mwanzo kwenye sentensi zake;
Nilifikishwa mahakamani kwa kesi mpya ukiachilia kesi ya kwanza ya kupinga matokeo yauchaguzi 2015 jimbo la Kigoma kusini, awali nilikuwa nikijua ninakesi moja katikamahakama ya hakimu mkazi kigoma kwa madai kwamba nilimdhalilisha aliyekuwa mkuu wawilaya Khadija Nyembo tangu mwaka 2013….nikiwa mahakamani nikapewa tena kesi nyingineni kesi ya kuhamasisha wananchi wasichangie mchango wa maabara; – David Kafulila
‘Bado msimamo wagu utabaki palepale kwamba nitaendelea kupigania nchi yangu, kesi hizizote katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma ukitazama hati za mashitaka yote ya Kafulilahapa Kigoma zimeandaliwa na kusainia na DPP makao makuu Dar es salam inawezekanaje;- Kafulila
Mahakamani Kwa Kesi Mpya Tena, Huu Ni Msimamo Wa David Kafulila Mahakamani Kwa Kesi Mpya Tena, Huu Ni Msimamo Wa  David Kafulila Reviewed by habari motto on 4:53 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.