Muigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ! well....kupiia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. Faiza aliandika........
Mh.Sugu na mkewe watengana...Alia na kuandika ujumbe mzito
Reviewed by habari motto
on
4:17 AM
Rating: 5