Shuhudia Lulu Alivyonaswa Na Le Mutuz, Wala Bata la Kufa Mtu kwenye Hotel ya Kifahari


Mrembo na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu jana alionekana viwanja vya Hilton Double Tree Hotel akiwa anavinjali na mzee mzima Le Mutuz anaejiita “The King Of All Bongo Social Media Network”.
Wakiwa kwenye viwanja vya hotelini hapo wakiwa wenye nyuso za furaha na mbele yao kuna meza yenye glass mbili za vinywaji, Le Mutuz ambae jina lake halisi ni Wiliam Malecela alizitupia picha hizi mtandaoni na wakiwa katika mpozi mbalimbali na kuandika;

“Leo ni all my Super Friend Actress Super Star Lulu U know nampendazzzz mpaka naumwa U know she is just sweet chick U know and smart no nonsense baby! ­ le Mutuz” Tofauti na zile za Wema na Van Vicker, Hizi watu wengi hawajazitilia shaka juu ya nini kinaendelea kati yao kwani wengi wanamjiua Le Mutuz nimpenda kupiga na watu mastaa,maarufu na hadi wakwaida lakini hasa mabebezz …..U Know.
Shuhudia Lulu Alivyonaswa Na Le Mutuz, Wala Bata la Kufa Mtu kwenye Hotel ya Kifahari Shuhudia Lulu Alivyonaswa Na Le Mutuz, Wala Bata la Kufa Mtu kwenye Hotel ya Kifahari Reviewed by habari motto on 5:56 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.