JAGUAR KWELI KIOO

Mwanamziki anayepepea juu kwa kazi zake za muziki amajiunga na wakenya wengine kuwapa faraja watoto wanasumbuliwa na  kupooza kwa ubongo
Mwanamziki huyo anayetamba na na nyimbo ya ``kioo`` anayefahamika kwa kutoa misaada sana alikuwa zaidi ya mwanamziki kwa stage  kwani aliwapa moyo sana watoto kuamini kwamba doto zao zitatimia tu hata kwa hali walio nayo.
The man kweli ni kioo cha jamii na blogu ya jamii inawahasa wasanii wengine kuiga mfano wa Jaguar



JAGUAR KWELI KIOO JAGUAR KWELI KIOO Reviewed by habari motto on 10:32 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.