DIAMOND KUIWAKILISHA EAST AFRICA


Ni mwanmziki wa tanzania tena, dimond platinums kuiwakilisha Africa Mashariki katika shughuli pekee itakayofanyika Mouritious weekend hii. dimond platinum ni mwanmziki pekee kutoka east africa ambapo watakuwepo pia wanamziki mbalimbali wa kimataifa kama Davido wa nigeria,Tiwa Savage,Lola Rae,Sarkodie,Mi Casa AND Myztikal.
Wana mziki wote hawa wataimba wimbao wa pamoja 

DIAMOND KUIWAKILISHA EAST AFRICA DIAMOND KUIWAKILISHA EAST AFRICA Reviewed by habari motto on 10:21 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.