JUSTINE BIEBER APATA AJALI


Justin Bieber amepata ajali ya gari jana mchana huko Beverly Hills wakati akiwakwepa mapaparazi waliokuwa wakimfuata



Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, msanii huyo alikuwa amekaa kwenye kiti cha abiria kwenye gari aina ya Escalade wakati ajali hiyo inatokea na haraka alihamishiwa kwenye gari nyingine.Hata hivyo, Hakuna aliyeumia kwenye ajali hiyo.

Picha Za Ajali Hiyo


JUSTINE BIEBER APATA AJALI JUSTINE BIEBER APATA AJALI Reviewed by habari motto on 2:05 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.