WABUNGE WATUMIA MWANGA WA TOCHI ZA SIMU


Wabunge wakisoma kwa kutumia mwanga wa tochi za simu ndani ya Bunge jana mara baada ya umeme kuzima katika ukumbi huo wakati walipokuwa wakipiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15. Picha na Edwin Mjwahuzi
WABUNGE WATUMIA MWANGA WA TOCHI ZA SIMU WABUNGE WATUMIA MWANGA WA TOCHI ZA SIMU Reviewed by habari motto on 1:56 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.