BASI LA A.M LAPATA AJALI TENA,

Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu

Habari za hivi punde  zilizoufikia ni kwamba Basi la AM COACH lililokuwa linatoka Meatu mkoani Simiyu  kwenda Mwanza limepinduka katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu.

Kwa mujibu wa habari kutoka eneo la tukio watu sita wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwani hali za ni mbaya.

Miongoni mwa waliojeruhiwa yumo mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
BASI LA A.M LAPATA AJALI TENA, BASI LA A.M LAPATA AJALI TENA, Reviewed by habari motto on 2:04 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.