RIYAMA ALLY AFUNGUKA KUHUSU MCHUMBA WAKE

STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.
, Riyama Ally katika pozi.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Riyama alisema hahitaji kuolewa kwa sasa kutokana na kushuhudia ndoa nyingi za mastaa zikivunjika, hivyo anahitaji muda mwingi wa kufikiria juu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa.
“Nitaolewa baada ya moyo wangu kuwa tayari kwani ndoa si jambo la kukurupuka, lazima uwe na mtu sahihi,” alisema Riyama.      
RIYAMA ALLY AFUNGUKA KUHUSU MCHUMBA WAKE RIYAMA ALLY AFUNGUKA KUHUSU MCHUMBA WAKE Reviewed by habari motto on 2:10 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.