HAWA NDIYO WALE WATUHUMIWA WANAOHUSISHWA NA VITENDO VYA UGAIDI

Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16 walisomewa mashitaka.



Watuhumiwa wakiingia ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Watuhumiwa wakipelekwa maabusu baada yakusomewa mashitaka yao.
HAWA NDIYO WALE WATUHUMIWA WANAOHUSISHWA NA VITENDO VYA UGAIDI HAWA NDIYO WALE WATUHUMIWA WANAOHUSISHWA NA VITENDO VYA UGAIDI Reviewed by habari motto on 10:00 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.