BAADA YA NDEGE YA MALAYSIA KUPOTEA, SASA DUNIA YAKUBWA NA BALAA LINGINE TENA




malay2
Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa.
malay
Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi.
Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano.
malay3

Pande zote mbili serikali ya Ukraine na waasi wamekanusha kuitungua ndege hiyo katika mji ulio karibu na mpaka wa Urusi.
BAADA YA NDEGE YA MALAYSIA KUPOTEA, SASA DUNIA YAKUBWA NA BALAA LINGINE TENA BAADA YA NDEGE YA MALAYSIA KUPOTEA, SASA DUNIA YAKUBWA NA  BALAA LINGINE TENA Reviewed by habari motto on 9:56 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.